Thursday, 11 February 2016

Matokeo Feb 12

Chang'ombe 2 - 2 KM
Dundee fc 2 - 0 Dodoma sports fc
Pentagon 3 - 1 Chamwino Ikulu

Monday, 8 February 2016

Matokeo ya GROUP "C" FEB 09


  1. Dodoma Sports Fc 0 - 4 Veyula Fc
  2. Dundee 0 - 0 KM
  3. Are "C" 1 - 2 Pentagon Fc
  4. Chamwino Ikulu 0 - 4 Chang'ombe

leo...!!!

Area "C" vs Pentagoni Fc
16:30 jion
Capital Stadium

matokeo

Dodoma Sports Fc 0 - 4 Veyula

Ratiba Ligi ya mkoa daraja LA 3 DODOMA leoooo...!

Dodoma Sports Fc vs Vyeyula
Saa 14:00 mchana
Capital stadium

Matokeo ya Mechi za ulaya 7/02/2016

Bournemouth 0 - 2 Arsenal
Chelsea 1 - 1 Man utd
Levante 0 - 2 Barcelona
Granada 1 - 2 Real Madrid
Verona 1 - 1 Inter Milan
Torino 1 - 2 Chievo
Roma 2 - 1 Sampdoria
Frosinone 0 - 2 Juventus
Hamburg 1 - 1 Koln
Hoffenheim 0 - 2 Darmstadt 98
Bordeaux 1 - 4 Saint Etienne
Marseille 1 -  2 PSG
Porto 1 - 2 Arouca
Basel 3 -0 Luzern
Ajax 2 - 1 Feyenoord
Utrecht 0 - 2 PSV

Saturday, 6 February 2016

Matokeo ya mechi za ufunguzi ligi daraja LA tatu DODOMA.


  1. Gunners 2 - 2 Nkuhungu

       Wafungaji
       Saleh Mbeju  (gunners)
       Dino (Nkuhungu PN)
       Kio (Nkuhungu OG)
       Muhina(Nkuhungu)
 
   
2. Shelly fc 1 - 0 Kikuyu
        Wafungaji
        Kadabla(shellyfc)


3. Magereza 1 - 1 Firestone
     

UFUNGUZI WA LIGI DARAJA LA 3 GROUP "C" LEOO..!!!!

Nkuhungu vs Gunners
Jamhuri stadium
14;00 mchana

Shelly vs Kikuyu
Magereza stadium
16;00 jioni
Hizi mechi sio za kukosa ni za kukata na shoka wadau...

Friday, 5 February 2016

Matokeo Ya Ngao Ya HISANI

Mechi ya ngao ya hisani ilichezwa mjini DODOMA kati ya timu ya AREA "C" dhidi ya timu ya jeshi GUNNERS ambayo iliibuka bingwa katika msimu uliopita wa ligi daraja la tatu ingawa walishindwa kumalizia mbio zao kufika daraja la pili juzi tena wamechapwa kipigo cha 4 - 0 na AREA "C" kuibuka kidedea

Kati ya usajili mmoja ambao unaaminika kua utatusaidia katika kupambana kwa ushindan kabisa ligi daraja la 3 msimu huu NGALYA MAYOMBE


Baadhi ya wachezaji waliopambana ligi za miaka ya nyuma.




WELCOME TO DODOMA SPORTS FC

Tunapenda kuchukua nafasi hii kuwakalibisha wote katika hatua hii kubwa kwa upande wa timu yetu na pia upande wapendao michezo hususa ni mchezo wa mpira wa miguu katika mkoa wetu wa Dodoma sababu blog hii haitatoa habari za Dodoma sport fc peke yake bali ni michezo kwa ujumla, Pia kwa kuhakikisha mnapata matokeo yote ya ligi ya mkoa Dodoma (Daraja la 3).